Home
»
» Unlabelled
» DIAMOND PLATNUMZ KUIMBA NYIMBO ZA INJILI 2017?
MWANAMUZIKI MASHUHURI Diamond Platnumz KUIMBA NYIMBO ZA INJILI
Hili ni swali nimeulizwa na kijana mmoja akihoji je, kunasiku inaweza kutokea Mwana muziki maarufu huyu kuimba nyimbo za injili?
Jibu lake ni rahisi sana ni ndiyo inawezekana kwani kuwa msanii hakumzuii msanii huyo kumtumikia Mungu, tujifunze kwa Pastor emmanuel Mgaya (Msanja mkandamizaji ) yeye ni msanii na bado ni mhubiri wa injili .
Post a Comment