Waislamu wasaidia Wakristo kujenga kanisa Pakistan 20:14 Gwiyasa 0 A+ A- Print Email Waislamu wasaidia Wakristo kujenga kanisa Pakistan 14 Juni 2016 Imebadilishwa mwisho saa 06:25 GMT Mji mmoja nchini Pakistan katika jimbo la Punjab, ambao ulipata umaarufu kutokana na vurugu zake dhidi ya makundi ya jamii ndogo umeleta watu pamoja kwa njia isiyo ya kawaida. Wakulima maskini wa Kiislamu katika kijiji cha Gojra wanachanga fedha ili kusaidia katika ujenzi wa kanisa kwenye eneo lao. Lakini hali hii ya kuelewana na kuvumiliana kweli itawezekana katika eneo ambalo mara nyingi hutokea fujo za kidini? Suluma Kassim, anatuelezea zaidi. Habari hii imetoka BBC SWAHILI Hauhitaji Media Player Pata usaidizi kuhusu Media Player Bonyeza 'Enter' kuendelea au kurejea mwanzoni Hauhitaji Media Player Pata usaidizi kuhusu Media Player
Post a Comment