Baada ya Uchaguz 2020
Sasa tunaendelea na kuijengaTanzania yetu kwa kufanya kazi kwa bidii.
Aidha natoa pongezi kwa vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi, Uchaguz ulikuwa Huru na wahaki, Pia tunawapongeza ndugu zetu Zanzibar kwa kuwa wakati mzur wa kumapisha Makamu was Kwanza was Rais Mh. Malimu Seif, Zanzibar Sasa itakuwa mpya yenye kasi ya Maendeleo
Post a Comment