Saturday, 2 July 2016

picha za arusi



Vijana ndoa au arusi hataki maandalizi makubwa ni uamzi tu

Harusi /ndoa

  Namtukuza Mungu wangu kwa kufanikisha zoezi hili kama hatua ya msingi katka maisha ya mwanadamu. Mke au mme ni zawadi toka kwa Mungu, usimdharau mwenzi wako